Wadhamini: |
MKUTANO WA WOKOVU NA UPONYAJI
Je unatafuta
uhusiano na Mungu?
Je, unahitaji uponyaji katika mwili wako?
Mhubiri wa
kimataifa Randy Gilbert toka USA atahubiri na kuwaombea wote wenye mahitaji
Tarehe:31Octoba - tarehe 4 Novemba 2012
Mahali: Uwanja wa Biafra, Kinondoni Dar Es
Salaam,Tanzania
Mda: Saa 9 Alasiri mpaka saa 1
jioni kila siku
Christ
Ambassadors toka Kenya na kwaya zingine nyingi zitaimba
Christ Ambassadors toka Kenya |
Mkutano
umefadhiliwa na Faith Landmarks Ministerial Fellowship na contact TV kwa
kushirikiana na ushirika wa wachungaji Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment