My God is able>>Upendo wa Yesu>
[1]
My God is able
My God is able
My God can do it today
[2]
Upendo wa Yesu
Upendo wa Yesu
Upendo wa Yesu Wanitosha mimi
Wanitosha
Wanitosha mimi x2
[3]
Furaha ya Yesu
Furaha ya Yesu
Furaha ya Yesu yanitosha mimi..
Yanitosha
Yanitosha mimi.. x2
[4]
Amani ya Yesu
Amani ya Yesu
Amani ya Yesu yanitosha mimi
Yanitosha
Yanitosha mimi.. x2
[5]
Ushindi wa Yesu
Ushindi wa Yesu
Ushindi wa Yesu wanitosha mimi
Wanitosha
Wanitosha mimi x2
[6]
Uweza wa Yesu
Uweza wa Yesu
Uweza wa Yesu wanitosha mimi..
Unaweza
Unaweza Yesu.. x2
No comments:
Post a Comment