Saturday, October 6, 2012

Mkutano wa wokovu na uponyaji

Wadhamini:
MKUTANO WA WOKOVU NA UPONYAJI

 Je unatafuta uhusiano na Mungu?

 Je, unahitaji uponyaji katika mwili wako? 

Randy Gilbert
Mhubiri wa kimataifa Randy Gilbert toka USA atahubiri na kuwaombea wote wenye mahitaji


Tarehe:31Octoba - tarehe 4 Novemba 2012

Mahali: Uwanja wa Biafra, Kinondoni Dar Es Salaam,Tanzania

Mda: Saa 9 Alasiri mpaka saa 1 jioni kila siku


Christ Ambassadors toka Kenya na kwaya zingine nyingi zitaimba
Christ Ambassadors toka Kenya     

 
Mkutano umefadhiliwa na Faith Landmarks Ministerial Fellowship na contact TV kwa kushirikiana na ushirika wa wachungaji Dar Es Salaam