Wednesday, November 27, 2013

666 CHRISTIAN BONGO MOVIE UNYAKUO PALAPANDA

FILAMU YA KIKRISTO KUHUSU SIKU ZA MWISHO,
IMEANDALIWA NA REV. JOSHUA KADUMA.



Siku za mwisho 666

ITAZINDULIWA TAR 15 DEC 2013, MLIMANI CITY CINEMA HALL



LAITI WATANZANIA TUNGEBADILIKA KUTOKA KUIGIZA FILAMU ZA UDAKU TUIGIZE FILAMU ZA KUWAFUNDISHA NA KUWALETA WATU KWA YESU. REV JOSHUA KADUMA AMEANDAA FILAMU YA KIKRISTO KUHUBIRI KUHUSU SIKU ZA MWISHO. ITAZINDULIWA TAR 15 DEC 2013, 10:00 - 12:00 JIONI, MLIMANI CITY, VITI VYOTE NI VIP, KIINGILIO 20,000/= WAIMBAJI MAARUFU WATAKUWAPO. JAMANI TUACHE KUSHABIKIA FILAMU ZA UDAKU ZINAZOPUNGUZA UPAKO WA MUNGU. TUUNGE MKONO WATUMISHI WA BWANA.