MKUTANO MKUBWA
WA INJILI
WA SHEREHE ZA ISHARA NA MIUJIZA
Hii huduma ya SOS MISSION Ni huduma ya kimataifa iliyolenga kuwafikia watu wote duniani chini ya Rev Johannes Amritzer , Wamejitawanya duniani kimatawi kuifanya huduma kufanyika kirahisi zaidi, Mungu anawatumia sana, kwa ishara na miujiza, kwa wanafunzi na watu ambao walifanikiwa kuhudhuria Campus night ya 11.11.2011 iliyoandaliwa na Kanisa la Victory christian Center Dar ni mashahidi. Mungu anawatumia hawa watu isivyo kawaida.
SASA WAMEKUJA DAR TENA.
NJOO UMUONE MUNGU ANAVYOWATUMIA WATU, NJOO USHUHUDIE MWENYEWERev Johannes Amritzer |
Mahali:
Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania
Tarehe: 13
Jumatano hadi 17 Jumapili Juni 2012
Muda; Kila
siku saa 9 Alasili Mpaka 12:30 Jioni
Mnenaji:
Muinjilisti wa Kimataifa, Jonnes Amritzer
Kwaya
mbalimbali na Waimbaji Binafsi
Watakuwapo: Kinondoni Revival, Temeke Revival, The Reapers, Upendo Nkone, Christina Shusho, Bon Mwaitege
Watakuwapo: Kinondoni Revival, Temeke Revival, The Reapers, Upendo Nkone, Christina Shusho, Bon Mwaitege
Mawasiliano,:
+255 714 503 638, +255 762 441 719, email signsandwonderfestival_dar@vcc.org.tz